KUKU

Tunazalisha na kusambaza vifaranga wa kuku chotara aina ya KULOILA. Kuku hawa wanakua haraka kuliko aina zote nyingine za chotara, ni wavumilivu zidi ya magonjwa, wana uzito mkubwa na hutaga kwa kiwango cha juu

Tunasafirisha kwenda maeneo yote kwa kutumia usafiri wa mabasi

Tunauza vifaranga wa kuanzia siku 2 hadi siku 7 wakiwa tayari wameshapata chanjo ya Marek’s

Vituo vyetu vya uzalishaji viko Mwanza na Kahama

Ushauri kwa wafugaji: Tunatoa Bure ushauri kwa wafugaji wadogo namna ya kutunza vifaranga na kuendesha mradi wa ufugaji wa kuku kwa ujumla wake

Wasiliana nasi kwa mahitaji yote ya vifaranga na ushauri wa kitaalam kuhusu ufugaji wa kuku kwa manufaa